Anuani na Namba za Mawasiliano

Play episode

Kipindi cha kanuni ya anuani na namba za mawasiliano kina lengo la kumwelimisha msikilizaji kuhusu namna mfumo wa anuani na namba za mawasiliano ulivyotengenezwa, unavyofanya kazi na unavyoweza kutumiwa kurahisisha mawasiliano na utendaji kazi wa kila siku. Hii ni pamoja na viwango vya ubora wa huduma hiyo vinavyokubalika kwa mujibu wa masharti ya leseni kwa mtoa huduma na haki ya mtumiaji kudai na kulalamika endapo hapati huduma bora.

Anuani na namba za mawasiliano

More from this show

Subscribe

Huduma na Bidhaa za MawasilianoEpisode 3