Bima ya uhifadhi wa mazao ni bima inayotoa kinga na kufidia hasara inayopatikana endapo mkulima atapata janga litakaloathiri mazao yaliyohifadhiwa na kukatiwa bima.
Bima ya uhifadhi wa mazao ni bima inayotoa kinga na kufidia hasara inayopatikana endapo mkulima atapata janga litakaloathiri mazao yaliyohifadhiwa na kukatiwa bima.
Kipindi hiki kina lengo la kuelimisha jamii kuhusu bima mahsusi kwa ajili ya majengo ya kibiashara dhidi ya hasara zitokanazo na majanga...
Kipindi cha nyaraka muhimu kwa Bima kina lengo la kuelimisha jamii kuhusu nyaraka zote muhimu zinazohitajika wakati wa kuingia mkataba wa...
Bima ya nyumba ya makazi ni bima inayotoa kinga na kufidia hasara inayopatikana endapo mwenye nyumba atapata janga litakaloathiri yake ya...