Kanuni ya Huduma za Ziada

Play episode

Kipindi cha kanuni ya huduma za ziada kina lengo la kumwelimisha msikilizaji kuhusu aina mbalimbali za huduma za ziada zinazotolewa na makampuni ya simu na viwango vya ubora wa huduma hizo kulingana na masharti ya leseni kwa mtoa huduma na haki ya mtumiaji kudai na kulalamika endapo hapati huduma bora.

Huduma za ziada

More from this show

Subscribe

Huduma na Bidhaa za MawasilianoEpisode 2