Nyaraka Muhimu kwa Bima

Play episode

Kipindi cha nyaraka muhimu kwa Bima kina lengo la kuelimisha jamii kuhusu nyaraka zote muhimu zinazohitajika wakati wa kuingia mkataba wa bima na pia nyaraka zinazohitajika wakati wa kufanya madai ya fidia ya hasara iliyopatikana endapo mwenye bima atapata janga.

Nyaraka muhimu kwa bima

More from this show

Subscribe

Recent posts

Bima Maendeleo na BUMACOEpisode 3