Kipindi cha kanuni ya ubora wa huduma ya simu za mkononi kina lengo la kumwelimisha mtumiaji wa simu za mkononi viwango vya ubora wa huduma hiyo vinavyokubalika kwa mujibu wa masharti ya leseni kwa mtoa huduma na haki ya mtumiaji kudai na kulalamika endapo hapati huduma bora.