Faida na Changamoto kukua Mawasiliano

Play episode

Kipindi cha faida na changamoto za kukua kwa sekta ya mawasiliano kina lengo la kumwelimisha msikilizaji kuhusu namna kukua kwa sekta ya mawasiliano kumerahisisha maisha na kupunguza gharama za kufanya mambo mbalimbali lakini wakati huo huo urahisi huo umeleta changamoto kubwa inapotumiwa isivyo sawa.

More from this show

Subscribe

Huduma na Bidhaa za MawasilianoEpisode 4