Kipindi cha faida na changamoto za kukua kwa sekta ya mawasiliano kina lengo la kumwelimisha msikilizaji kuhusu namna kukua kwa sekta ya mawasiliano kumerahisisha maisha na kupunguza gharama za kufanya mambo mbalimbali lakini wakati huo huo urahisi...
Kipindi cha kanuni ya anuani na namba za mawasiliano kina lengo la kumwelimisha msikilizaji kuhusu namna mfumo wa anuani na namba za mawasiliano ulivyotengenezwa, unavyofanya kazi na unavyoweza kutumiwa kurahisisha mawasiliano na utendaji kazi wa...
Kipindi cha kanuni ya huduma za ziada kina lengo la kumwelimisha msikilizaji kuhusu aina mbalimbali za huduma za ziada zinazotolewa na makampuni ya simu na viwango vya ubora wa huduma hizo kulingana na masharti ya leseni kwa mtoa huduma na haki ya...
Kipindi cha kanuni ya ubora wa huduma ya simu za mkononi kina lengo la kumwelimisha mtumiaji wa simu za mkononi viwango vya ubora wa huduma hiyo vinavyokubalika kwa mujibu wa masharti ya leseni kwa mtoa huduma na haki ya mtumiaji kudai na kulalamika...