Shows

Bima BUMACO na Maendeleo ni kipindi kinachodhaminiwa na kampuni ya bima ya BUMACO chenye lengo la kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa bima, aina za bima, masharti, majanga na utaratibu wa kudai fidia janga linapotokea.

Mwongozo kwa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano ni kipindi kinachodhaminiwa na TCRA chenye lengo la kutoa elimu kuhusu haki na wajibu katika kupata na kutumia huduma na bidhaa za mawasiliano.

Subscribe

Recent posts