Kipindi hiki kina lengo la kuelimisha jamii kuhusu bima mahsusi kwa ajili ya majengo ya kibiashara dhidi ya hasara zitokanazo na majanga kama moto
Bima ya nyumba ya makazi ni bima inayotoa kinga na kufidia hasara inayopatikana endapo mwenye nyumba atapata janga litakaloathiri yake ya makazi iliyokatiwa bima.
Bima ya nyumba ya makazi